Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, October 30, 2014

MPYA: TUNAITAMBULISHA KWENU NYIMBO MPYA YA MSANII CHIPUKIZI KUTOKA MKOA WA MBEYA SJ IITWAYO KUMBE MAPENZI

Tone Multimedia Group Kupitia Mtandao wetu wa Mbeya yetu Blog tumeadhimia kuanza kuwasaidia wasanii Chipukizi kutoka Mkoa wa Mbeya na Mikoa mingine ya Jirani kimuziki kwa Kutambulisha kazi zao mbalimbali ili wadau pia mpate kuwafahamu.

Tunaanza Kumtambulisha kwenu Msanii wa nyimbo za kizazi kipya yaani Bongo Flava kwa jina la kisanii anaitwa SJ kijana ambaye yupo chini ya Mdhamini wake Mkuu Jacob Mwaisango ambaye aliona kipaji chake na kuamua kumsaidia kwa Hali na mali mpaka akaingia Studio na kutoa nyimbo kadhaa. Lakini leo Mbeya Yetu Blog Tunawatambulisha kazi hii ya kijana huyu ambaye tumeamua kumdhamini na kumsaidia Muziki wake ufike mbali zaidi.  

Wimbo wake huu mpya kabisa unaitwa Kumbe Mapenzi.

No comments: