Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, November 23, 2015

KAMPUNI YA SARUJI YA LAFARGE YATOA MAFUNZO KWA WAFYATUA TOFALI JIJINI MBEYA

Vijana wanaojihusisha na ufyatuaji wa matofali Jijini Mbeya wakifuatilia mafunzo juu ya namna ya kuchanganya mchanga na saruji


Meneja Mauzo na Ufundi wa Lafarge Tanzania, Emil Sindato akitoa mafunzo kwa wafyatuaji matofali wa mkoa wa Mbeya kuhusu matumizi sahihi ya  namna ya kuchanganya saruji ya Supaset ambayo ni mahususi kwa ufyatuaji matofali na zege ili kupata matokeo mazuri hasa uimara wa majengo na kuweza kuata faida kibiashara. Mafunzo hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki jijini Mbeya.
Picha na Mpiga picha wetu.

No comments: